Miongoni mwa products zinazotolewa na Premeir Betting Entertainment Africa ni Mchezo wa kubashiri matokeo ya mpira wa miguu 'Sports betting' na Mbio za Farasi (Virtual Horse racing)
Mchezo wa kubashiri matokeo ya mpira wa miguuPremier Betting inakuletea mchezo wa kubashiri mechi za mpira wa miguu. Ambapo utapata nafasi ya kujionea mechi kubwa na kujishindia mamilioni ya pesa kwa kubashiri matokeo.
Soma vizuri mfumo wa timu na wachezaji , tumia maoni yako kutabiri matokeo. Kasha bashiri na upate nafasi ya kujishindia.
Kwa mfano:Unaweza kubashiri mshindi katika dakika 90, au timu gani itashinda katika dakika 45 za kwanza au hata ni magoli mangapi yatafungwa katika mchezo husika.
Usiwe na wasiwasi kama ulikuwa hujawahi kucheza mchezo wa kubashiri kwa mpira. Soma kwa makini kipeperushi hiki na pia pata maelekezo kutoka kwa wafanyakazi wetu.
Unapofanya ubashiri, kumbuka kwamba ubashiri huo ni kwa muda ule wa kawaida tu wa mchezo wa mpira wa miguu ( dakika 90). Unaweza kujumlishwa na dakika za majeruhi ambazo huongezwa na mwamuzi.
Dakika za nyongeza au penati haziusishwi kabisa katika ubashiri.
Namna ya kuchezaUnatakiwa kubashiri matokeo ndani ya dakika 90 za mchezo husika.
Matokeo ya aina tatu yanayotarajiwa ni 1, X au 2
Bashiri “1” kwa timu mwenyeji kushinda
Bashiri” X” kwa sare
Bashiri “2” kwa timu ya ugenini
Namba zinazotolewa kwa kila timu na sare.
Kwa mfano:
Man Utd Vs Chelsea
Man Utd (2.3)
Sare (3.2)
Chelsea (2.9)
Unaweza kubashiri mechi moja (single), mechi mbili (double) mechi tatu hadi 12 (multiple)
Kadri unavyochagua namba ndogo kwa timu unayobashiri ndipo unavyojiongezea nafasi ya ushindi. Namba ya timu ikiwa kubwa maana yake uwezekano wa timu hiyo kuibuka na ushindi ni mdogo.
Namba hizi za timu hutegemea na hadhi ya timu, matokeo yake kwa sasa na mfumo wa wachezaji wake.
Namna ya kupata hesabu ya ushindiIkiwa utabashiri katika mechi moja, ushindi wako utahesabiwa kwa kuzidisha kiasi ulichobashiria kwa namba ya timu ‘odds’ uliyobashiri.
Kwa mfano:
Man Utd (2.3) sare Chelsea (2.9)
Bashiri kwa 10,000 TZS kwa Man United kushinda (changua 1 kwa timu mwenyeji) ikiwa itashinda utakuwa UMEJISHINDIA
10,000 kiasi cha kubashiria X 2.3 (namba ya Man.Utd )= 23,000TZS
Kwa ubashiri wa mechi zaidi ya moja, ushindi wako utahesabiwa kwa kuzidisha kiasi ulichobashiria mara namba za timu (Odds) ulizochagua. Ubashiri wako lazima utimie. Kwa mfano Ikiwa umefanya ubashiri wa timu sita halafu tano ubashiri wa tano kati ya hizo ukawa sawa na moja ukakosea,Utakuwa umepoteza nafasi yako ya ushindi.
Kwa mfano:
Man Utd (2.3) Sare (3.2) Chelsea (2.9)
Barcelona (2) Sare (3.4) Real Madrid (3.6)
AC Millan (3.2) Sare (3) Intermillan (2.1)
Ukibashiri kwa 10,000TZS kwamba Man Utd (1) Real Madrid (2) na Inter Millan (X), ikiwa matokeo yatakuwa sahihi kama ulivyobashiri. Utakuwa umeshinda.
10,000 x 2.3 (namba ‘odds’ ya Man Utd) x 3.6 namba ya (Real Madrid) x 3 (namba ‘odds’ ya sare)= 248,400TZS
Masharti na taratibu 1. Bashiri matokeo ya mechi husika ndani ya dakika 90 za mchezo. Ubashiri huo hautahusisha muda wa nyongeza ama penati. Uamuzi wa matokeo kwa michezo husika upo chini ya Premier games pekee.
2. Anayebashiri mechi zaidi ya moja atakuwa mshindi tu, endapo ubashiri wake kwa mechi hizo utakuwa sahihi kwa mechi zote. Hivyo ushindi wake utakuwa kwa kuzidisha kiasi alichobashiria kwa namba za timu husika.
3. Ikiwa mchezo utaahirishwa, utaanza kabla ya muda au kuchelewa, mchezaji atarudishiwa pesa yake aliyobashiria. Suala hili litaamuliwa na wachezashaji wa michezo ya Premier.
4. Premier Games wamepewa dhamana ya kubadilisha namba za timu inazotoa ikiwa ni pamoja na kusimamisha ubashiri wa mchezo Fulani.
5. Umri wa mchezaji ni zaidi ya miaka 18.
6. Kiasi cha chini kabisa cha kubashiria ni TZS 250 ambapo kiasi cha juu cha zawadi ni TZS 20,000,000 imepangwa kwa ubashiri mmoja. Kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana na wakala wa Premier Bingo Entertainment Africa au wasiliana nasi kwa simu : 0764 700 700
7. Vilevile unaweza kufika ofisini kwetu Kariakoo, mtaa wa Sukuma 8/39. Dar es salaam
Cheza kwa majukumu. Ikiwa una taarifa juu ya uchezaji uliopitiliza, tafadhali wasiliana na meneja wetu kwa simu namba 0764 700 711
Michezo mingine itakayokujia hivi karibuniHandicapUbashiri wa matokeo (1,X na 2) kwa mechi zilizochaguliwa, ambapo timu dhaifu itapewa goli moja wakati wa kuanza mchezo.
Kwa mfano:
Man Utd Vs Chelsea (+1)
Ikiwa mchezo halisi utaisha kwa suluhu ya 0-0 matokeo ya handicap yatakuwa Man Utd 0-Chelsea 1.
Ikiwa mchezo halisi utaisha kwa ManUtd 1-0. Matokeo ya handicap yatakuwa 1-1 sare n.k
Dakika 45Ubashiri wa matokeo kwa dakika 45 za mwanzo tu. Hivyo matokeo ya ubashiri huu yatakuwa ni katika hizo dakika 45 za mwanzo ukijumlisha dakika za majeruhi zitakazoongezwa na mwamuzi.
Chini/ juu ya 2.5Ubashiri wa idadi ya magoli yatakayofungwa katika mechi moja. Bashiri chini ya 2.5 kwa magoli 0-1 au 2 jumla.
Au juu ya 2.5 kwa magoli 3,4,5 au magoli zaidi.